Passer aux informations produits
1 de 8

Ely Shop

Plastic Restorer

Plastic Restorer

Prix habituel 59,000.00 TZS
Prix habituel 79,000.00 TZS Prix promotionnel 59,000.00 TZS
Promotion Épuisé
Taxes incluses.
Quantité

Rudisha Uhai na Mng'ao wa Gari Lako kwa Sekunde! (Plastic & Leather Restorer)

e, dashibodi au viti vya gari lako vimepoteza rangi na kuonekana vya zamani? Usijali tena!

Bidhaa yetu ya Plastic & Leather Restorer ndiyo suluhisho bora la kurudisha muonekano mpya wa gari lako. Imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa inayolinda na kung'arisha plastiki na ngozi.

Sifa Kuu za Bidhaa Hii:Inarudisha Rangi Nyeusi: Inafanya sehemu zilizopauka kuwa nyeusi tii na kung'aa kama mpya. ✅ Ulinzi wa Muda Mrefu: Inatoa ulinzi unaodumu kwa miaka 3 hadi 4 dhidi ya jua na kuchakaa. ✅ Huzuia Maji (Waterproof): Ina uwezo mkubwa wa kuzuia maji na unyevu (Super Hydrophobic). ✅ Haikubali Vumbi: Inazuia vumbi kuganda, hivyo gari linabaki safi muda mrefu. ✅ Matumizi Mengi: Inafaa kwa dashibodi, viti vya ngozi, bumper, na sehemu zote za plastiki ndani na nje ya gari.

Jinsi ya Kutumia:

  1. Safisha sehemu unayotaka kupaka naikaushe.

  2. Weka kiasi kidogo cha dawa kwenye sponji.

  3. Paka taratibu na uone mabadiliko ya papo hapo!


Afficher tous les détails